Latest Updates

ALIYEIBA MUME WA MTU MBAGALA NAYE AIBIWA MUME HUYO HUYO NA AJUZA

ALIYEIBA MUME WA MTU MBAGALA NAYE AIBIWA MUME HUYO HUYO NA AJUZA
Waswahili wanasema Ukstaajabu ya Musa utaona ya FIlauni!ni kwelii ndugu zangu!yametokea na muda huu ninaoandika ndivyo ilivyo!!Hali ilikuwa ivi mdada cheupe dawa toka kanda ya juu,alinogewa na penzi la baba mwenye familia yake huko pande za MBAGALA KIASI CHA KUMFANYA Baba huyo kuisahauu kabisa familia yake ya mke na watoto wawili nae kwa kujiona mjanjaa sana akamdhibiti na maisha yakaendelea,huku nyuma mama wa watu akiwa ameachwa na watoto wawili na mimba juu siku ilipofika ya kujifungua hakupata...